wegoingin.com Black Media From Around The Globe🌎
Rapcha - Uongo (Official Music Video)
TO THE TOP VOL.2 ON THE WAY
LYRICS
Ndani ya dakika mbili nafika hapo usichoke no usichoke
Ndani ya siku ka mbili nakupeleka shopping mall usikonde
Ndani ya wiki ka mbili kuna hela naipata so, Its okay
Ndani ya miezi miwili ntakupeleka upaone home usikonde
Yeah
Usikonde nilikua busy tu kazi
Nilisinzia mapema juzi afu pia simu haikuwa na charge
Nikaamkia ofisini kazi ni nyingi mi ndo nikawa incharge
Afu weekend ntakuwa shytown maana wazazi wananihitaji
Uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo
Uoooo ooo uooo
Uooo ooo uooo
Jua nna jali sana hisia zako so sometimes huwa i have to lie
Nikisema kile ambacho we unahitaji kusikia unaeza die
Ubaya kila ambavyo mi ntajibu we lazima u’cry
Siunajua Nakupenda, wallah haya makosa i don’t know why
Plus nikikupa ukweli mtupu kesho tu utaondoka mkuku
Utantia aibu nibaki mtupu, ntasimangwa kila group
UEFA imeanza by the way leo usiku ntakua busy
Afu Kesho kutwa naenda marathon ntakumiss ile ki ki kichizi
Uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo uongo
Ebana huo ni uongo
Uoo uoo
Uoooo ooo uooo
Uooo ooo uooo
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi sipendi ngebe
Wanapenda ngenga sipendi ngee
Sipendi sipendi ngebe
Audio produced by: https://instagram.com/jogabeat/
Mixing and Mastering by: https://instagram.com/gachib/
Video directed by: https://instagram.com/majagiking/
Join Our Family:
https://instagram.com/rapcha_tz/
https://twitter.com/rapcha_tz/
https://www.tiktok.com/@rapcha_tz
#rapcha #uongo #artistontherise
Tuesday, July 11, 2023
Categories
Related Videos
Privacy Policy © wegoingin Limited. All rights reserved 2024